member

Tuesday 27 August 2013

Celine Dion

Celine Dion

Celine Dion
Dion akiimba wimbo wa "Taking Chances" wakati wa "Ziara ya Celine Dion ya Taking Chances" Concert lililofanyika Bell Centre, Montreal, Kanada mnam tar. 19 Agosti 2008.
Dion akiimba wimbo wa "Taking Chances" wakati wa "Ziara ya Celine Dion ya Taking Chances" Concert lililofanyika Bell CentreMontrealKanada mnam tar. 19 Agosti 2008.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaCéline Marie Claudette Dion
Amezaliwa30 Machi 1968 (umri 45)
Charlemagne, Quebec, Kanada
Asili yakeMontrealQuebec, Kanada
Aina ya muzikiPoprock
Kazi yakeMwimbajimtunzi wa nyimbo[1]
Alasauti
Aina ya sautiSoprano[2]
Miaka ya kazi1980–2000, 2002-hadi leo
Studio550/Epic/Sony (1986–2004)
Epic (2004–2007)
Sony Music Entertainment/Columbia(2007-hadi leo)
Tovutiwww.celinedion.com
Céline Dion (amezaliwa tar. 30 Machi 1968) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo mashuhuri za pop kutoka nchini Kanada. Alizaliwa katika mji wa Charlemagne mjini QuebecKanada. Yeye ni mdogo kuzaliwa katika familia ya watoto kumi na nne.
Alifikisha umri wa miaka 12, kaka yake alimpeleka kwa meneja wa urekodi aliyejulikana kwa jina la René Angélil, ambaye baadaye akaja kumwoa na kumzalia mtoto.
Kwa msaada wake, alifanikiwa kutoa albamu yake ya kwanza mnamo mwaka wa 1981, ambazo alikuwa akiimba kwa Kifaransa. Alitoa albamu yake ya kwanza kwa lugha ya Kiingereza kunako mwaka wa 1990.
Kwa sasa anaishi mjini Las Vegas ambapo alifanya maonyesho yake mengi sana. Mnamo mwaka wa 2007, aliimba katika onyesho moja akiwa na Elvis Presley, ambalo liliandaliwa katika kompyuta ambazo kuna picha za maonyesho ya zamani yaliyofanywa na Elvis. Dhumuni la onyesho, lilikuwa likiandaliwa kwa ajili ya onyesho la TV la American Idol.
Ameuza albamu babkubwa duniani kwa msanii wa kike, kitendo ambacho kimemfanya ashinde Tuzo za Muziki wa Dunia kunako mwaka wa 2004. Pia ameuza zaidi ya nakala milioni 7 za muziki kwa lugha ya Kifaransa.
Amekuwa nyota maarufu kwa Ulaya kwa albamu yake ya Incognito ya mwaka wa 1987. Baada ya hapo, akafanya maonyesho kadhaa katika Ulaya kisha akaja kuwa maarufu zaidi.

Muziki[hariri]

Albamu zake kwa lugha ya Kiingereza[hariri]

Albamu zake kwa lugha ya Kifaransa[hariri]

  • 1981: La voix du bon Dieu
  • 1981: Céline Dion chante Noël
  • 1982: Tellement j'ai d'amour...
  • 1983: Les chemins de ma maison
  • 1983: Chants et contes de Noël
  • 1984: Mélanie
  • 1985: C'est pour toi
  • 1987: Incognito
  • 1991: Dion chante Plamondon
  • 1995: D'eux
  • 1998: S'il suffisait d'aimer
  • 2003: 1 fille & 4 types
  • 2007: D'elles

Single zake[hariri]

MwakaSingleNafasi iliyoshika
CANU.S.UKFRA
1990"Where Does My Heart Beat Now"647220
1992"If You Asked Me To"3457
"Beauty and the Beast(akiimba na Peabo Bryson)299
1993"The Power of Love"1143
"Un garçon pas comme les autres (Ziggy)"2
1994"Think Twice"14951
1995"Pour que tu m'aimes encore"71
"Je sais pas"1
"Because You Loved Me"11519
1996"It's All Coming Back to Me Now"22313
"All by Myself"465
1997"[:en:[Tell Him (Barbra Streisand and Celine Dion song)|Tell Him]]" (akiimba na Barbra Streisand)1234
1998"The Reason"111
"My Heart Will Go On"14111
"Immortality"(akiimba na Bee Gees)515
"I'm Your Angel(akiimba na R. Kelly)371397
"S'il suffisait d'aimer"4
2000"I Want You to Need Me"1
2001"Sous le vent" (akiimba Garou)141
2002"A New Day Has Come"222723
2003"I Drove All Night"1452722
"Tout l'or des hommes"23
2005"Je ne vous oublie pas"2
2007"Et s'il n'en restait qu'une (je serais celle-là)"1

Marejeo[hariri]

  1.  Britannica.com. Céline Dion. Retrieved 13 Januari 2006.
  2.  Review/Pop; The International Sound of Celine DionThe New York Times. 2 Machi 1994. Retrieved 17 Novemba 2008