member

VICHEKESHO


KOSA LA KWANZA TALAKA YA NINI

  Jamaa kamfumania mkewe;

JAMAA: Yaani mke wangu unanifanyia hivi mimi? Kitu gani nimekukosea?
MKE: Mume wangu najisikia aibu kubwa sana, nimekutendea kitu kibaya sana, naomba unipe talaka upate mtu mwaminifu
JAMAA: Ngoja kwanza mbona umefika mbali sana? Kosa lenyewe ni la kwanza talaka ya nini?

 JUMA MBONA UNARUSHA NGUMI


Juma alikuwa anajifanya anajua sana kutania watu. Siku hiyo akamkuta rafiki yake Jaks kakaa ana mawazo akamshika shavu na kumtania kuwa ana shavu  laini kama tako la mke wake, Jaks akajishika shavu lake, kisha akawa kama anatafakari na kusema bila ukali,’Aise kweli bwana Juma, nilikuwa sijagundua na mimi sasa nakubali ni kweli shavu langu linafanana ulaini na tako la mkeo’ Eti Juma akaanza kurusha ngumi



         

mume wangu mlevi


WIFE alikuwa kaingiza mwanaume kwenye chumba chake cha ndoa. Wakiwa wamelala mume akapiga hodi, jamaa akapanik; WIFE: Tulia huyu ni mlevi kiasi akiingia humu hataweza kukuona... mume akaingia akiwa njwii, akavua nguo zake na kuingia kitandani bila kulalamika, ghafla akshtuka alipoangalia miguuni MUME: We mbona kuna miguu sita? Kuna nini kinaendelea? WIFE: Ulevi wako huo sasa umezidi, mi naona miguu minne hebu amka toka kwenye kitanda uhesabu vizuri.....MUME akaamka na akaanza kuhesabu; MUME: Moja , mbili , tatu, nne aaah kweli, sori mke wangu hizi pombe zinanipeleka pabaya

 kaibiwa demu

Jamaa alikuwa bizi anafanya mazoezi kando ya barabara, baada ya jogging na kuruka kichura akaamua kupiga push up. Wakati anaendelea na push up, mlevi moja akiwa njwiii akamsogelea na kumuangalia kwa makini kisha akamwita;
Mlevi: Blaza, blaza, subiri kidogo blaza, hapa ni sehemu hatari.
Jamaa: Nini tena wewe mlevi?
Mlevi: Okay mi mlevi lakini nilitaka kukujulisha naona unananihii peke yako, vibaka wamekwisha kuibia demu wako, angalia mwenyewe hapo chini

   

  sijawahi kuwa na mwingine

MKAKA: Sweety mi ndie mpenzi wako wa kwanza? MDADA: Yaani hani sijawahigi kuwa na  mwingine tena, you are so sweet. Lakini nyie wanaume sijui mkoje, wote mnaulizaga swali hilohilo

karibu freemason

        Jamaa kakosea namba si akatuma 220,000/-kwa MPESA  kwenda namba tofauti na aliyotaka, hapo hapo akili ya haraka ikamjia akatuma text ifuatayo.MPENDWA TUNATEGEMEA UMEPATA FEDHA ZETU. WEWE NI MMOJA ULIYEBAHATIKA KUUNGANISHWA KATIKA KUNDI LETU TUKUFU LA FREEMASON. ILI KUKAMILISHA MAKUBALIANO NDUGU YAKO WA KARIBU ATAFARIKI KATIKA MUDA WA MASAA MATATU BAADA YA KUPOKEA FEDHA HIZO. MARA HILO LITAKAPOTOKEA FIKA UPESI KWENYE NJIA PANDA YOYOTE ILIYOKARIBU NAWE, NA MTUMISHI WETU ATAKUFUATA NA GARI JEUSI NAWE UTAKUJA KUNYWA DAMU YA KIAPO ILI UWE MWANACHAMA KAMILI. KARIBU KWA FURAHA KUU.........Dakika moja na nusu baadaye mesej ikaja umepokea 220,000/ kutoka kwa....            

maisha ya dar

Maisha ya Dar tunayajua wenyewe, we kaa hukohuko kijijini  ambako mnachinja kuku na kuliwa nyumba hiyohiyo na utumbo mnatupa. Huku Dar kuku anachinjwa Kinondoni; shingo inaliwa Tandale; Kidari Masako; paja Mikocheni; firigisi Magomeni, miguu Mbagala, kipapasioTandika, kichwa Temeke na utumbo Buguruni; Chezea dar wewe

DOCTOR KADINDISHA

ebu jiulize unajiandaa kuchoma sindano,baada ya kushusha nguo unageuka nyuma doctor kadindisha vipi utaendelea kushusha au utaacha

 NAITWA RAFAEL NASOMA MITA TANESCO

KUNA MASELA WALIKUTANA VIWANJA VYAKULA BATA BUT ON THE PROCESS WAKAANZA KUTAMBULISHANAKAMA IFUATAVYO .WA KWANZA NAITWA JOHN NASOMA UDAKTARIMUHIMBILI,WAPILI AKASEMA NAITWA FRANK NASOMA COMP SCIENCE UDSM,WATATU NAITWA RASHIDI NASOMA SHERIA RUCO, WANNE NAITWA SAMWEL NASOMA UHASIBU IFM,WATANO NAITWA RAFAEL NASOMA MITA TANESCO

HUYU NI MTU MWEMBAMBA TU

JAMAA MMOJA BONGE LA MTU NENE KWELIKWELI LILIPITA SEHEMU LIKAKUTA TANGAZO LA UKIMWI LINASEMA''UNENE WAKO USIKUPE MATUMAINI NENDA KAPIME UJUE AFYA YAKO''JAMAA LIKAGUNA KWA TAHARUKI ALAFU LIKASEMA ''ALIYEANDIKA HAPA LAZIMA ATAKUWA NI MTU MWEMBAMBA TU,AMA KWELI HAWA VIMBAUMBAU WANA WIVU NA SISI''

NAPENDA KUTUMA SALAMU

JAMAA MMOJA ALIKUWA ANAFUNDISHWA KUSWALI,AKAAMBIWA BAADA YA ATTAHIYATU TOA SALAM.JAMAA ALIPOMALIZA TU ATTAHIYATU AKAANZA KWA SAUTI.NAMSALIMU KAKA YANGU KOMBO WA CHAKECHAKE,SAID MDOGO WA KIGAMBONI,MAMAMDOGO ZAINA WA ILALA NA MWISHO NI DIJEI WA KIPINDI CHA MAMBO YA PWANI

SHIKA HAMSINI UKANYOE


MTOTO MMOJA KATIKA KUTOKA FAMILIA YA KIMASIKINI ALIKAA JUU YA MTI AKIWA UCHI KARIBU NA NJIA YA KWENDA KANISANI MARA AKAPITA PADRI AKAMWAMBIA OOH MTOTO WA BWANA UPO UCHI SHIKA ELFU KUMI UKANUNUE NGUO.YULE MTOTO AKAENDA KUMUONYESHA ELA MAMA YAKE,YULE MAMA AKAJIULIZA MTOTO MDOGO KAKAA UCHI KAPEWA ELFU KUMI JE MIMI NITAPEWA SHILINGI NGAPI? KESHO ILIPOFIKA YULE MAMA AKAENDA KUKAA UCHI, PADRI AKAPITA AKAMWAMBIA OOH MAMA WA BWANA UKO UCHI SHIKA HAMSINI UKANUNUE KIWEMBE UKANYOE

 

BABA USIMBISHIE MAMA WAKATI MIMI NIMEIONA

KATIKA FAMILIA MOJA AMBAPO WANAISHI BABA ,MAMA PAMOJA NA MTOTO WAO MMOJA JUMA,MWENYE UMRI WA MIAKA MITANO,FAMILIA HIYO ILIKUWA IMEPANGA CHUMBA KIMOJA TU NA VITANDA NI JUU NA CHINI KAMA VYA HOSTEL,MUDA WA KUFANYA MAMBO YA KIUTU UZIMA UNAKOSEKANA KABISA HIVYO KUSABABISHA BAADA YA KULA CHAKULA CHA JIONI MAMA ANAMUITA MTOTO ILI KUHAKIKISHA KWAMBA KASHAENDA KUANGALIA TV JIRANI,KISHA ANAFUNGA MLANGO NDIPO WANAFANYA MAMBO YA KIUTUUZIMA,KUMBE MTOTO ALIKUWA AKIITWA ANASIKIA AKIRUDI ANASHANGAA MLANGO UMEFUNGWA,SIKU MOJA DOGO AKATAKA KUSUHUDIA NINI KINATENDEKA BAADA YA KULA AKAJIFUNIKA MAGUO KWENYE KITANDA CHAKE CHA CHINI ,MAMA KAMA KAWAIDA YAKE AKAITA JUMA,JUMA BAADA YA KUHAKIKISHA AKAZIMA TAA,BABA SIKU HIYO ALIKUWA NA HARAKA SANA ALIPO WEKA AJIKUTA AMEWEKA KWENYE GODORO IKATOKEA UPANDE WA PILI MAMA AKAMWAMBIA MBONA UJAWEKA BABA AKAJIBU NIMEWEKA MAJIBISHANO YAKAANZA NIMEWEKA MAMA UJAWEKA BWANA MABISHANO YALIPOZIDI DOGO AKAINGILIA KWA KUSEMA BABA USIMBISHIE MAMA HATA MIMI NIMEIONA HIYO


WACHEZA KARATA WAWANYESHA NA KUWALAMBISHA WAKULIMA MAVI


JAMAA WAWILI WALIKUWA WAKICHEZA KARATA PORINI MARA WAKAPITA WAKULIMA WAWILI,WAKASIKIA SAUTI IKISEMA''WEKA JEMBE CHINI'' WAO WALIJUA MAJAMBAZIWAKAWEKA MAJEMBE YAO CHINI,''WEKA KISU'' WAKAWEKA VISU VYAO CHINI''NAOMBA KOPA '' WAKAANGALIANA HAWANA KOPA ''KAMA HUNA KOPA WEKA MAVI CHINI'' IKABIDI MTU MMOJA ANYE PALEPALE,MARAWAKASIKIA''KAMA UNA MAVI LAMBA'' IKABIDI YULE AMBAYE HAJANYA ALAMBE MAVI YA MWENZAKE,MARA WAKASIKIA ''GAME OVER'' WAKASHTUKA KUMBE WATU WANACHEZA KARATA

No comments: