member

Saturday 21 September 2013

Michael Faraday

Michael Faraday

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Michael Faraday katika maabara yake
Uchoraji wa Michael Faraday
Michael Faraday (* 22 Septemba 179125 Agosti 1867) alikuwa mwanasayansi kutoka nchini Uingereza aliyegundua misingi muhimu kwa matumizi ya umeme. Utaalamu wake ulikuwa hasa upande wa fizikia na kemia.
Aligundua mdukizo sumakuumeme akaweka hivyo msingi kwa dainamo na mashine za kutengeneza umeme.
Upande wa kemia alifaulu kubadilisha gesi kadhaa kuwa kiowevu akagundua kanuni za elektrolisisi.

Maisha[hariri]

Alizaliwa kati ya watoto wanne wa familia maskini huko Newington Butts kusini ya London. Baba alikuwa mhunzi. Alisoma shule kwa miaka michache tu mengine akajifundisha mwenyewe. Alipofikia umri wa miaka 14 alipelekwa kama mwanafunzi kwa karahana ya kutengeneza vitabu na katika muda wa miaka saba alipata nafasi nyingi za kusoma vitabu alivyojalidi.
Baadaye alisikiliza masomo ya wanakemia mashujuri walioanza kumjua mwishowe aliajiriwa 1813 kama msaidizi wa maabara kwenye taasisi ya Royal Institution. Hapa alipanda ngazi kuwa msimamizi, mkurugenzi na hatimaye profesa wa kemia.

Saturday 7 September 2013

Whitney Houston

Whitney Houston (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Whitney Houston
Whitney Houston 
Cover
Studio album ya Whitney Houston
Imetolewa 14 Februari 1985
Imerekodiwa 1983 - 1985
Aina R&B, pop, dance, soul
Urefu 47:23
Studio Arista
Mtayarishaji Jermaine Jackson, Kashif, Michael Masser, Narada Michael Walden
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Whitney Houston

Whitney Houston
(1985)
Whitney
(1987)
Single za kutoka katika albamu ya Whitney Houston
  1. "Hold Me"
    Imetolewa: 1984
  2. "Someone for Me/Thinking About You"
    Imetolewa: Januari 1985
  3. "You Give Good Love"
    Imetolewa: Aprili 1985
  4. "Saving All My Love for You"
    Imetolewa: Agosti 1985
  5. "How Will I Know"
    Imetolewa: Novemba 1985
  6. "Greatest Love of All"
    Imetolewa: Aprili 1986
Whitney Houston ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya mwimbaji wa muziki wa pop na R&B wa Kimarekani Bi. Whitney Houston. Albamu ilitolewa mnamo tar. 4 Februari 1985 kwenye studio ya Arista Records. Awali albamu ilikuwa na matokeo madogo ya kibiashara, lakini imeanza kukusanya mafanikio yake kunako 1986 kwa msaada wa vikali vikali vitatu vilivyoingia kwenye chati za Billboard Hot 100 vikiwa nafasi ya kwanza. Albamu inabaki kuwa kama albamu iliouza vizuri kwa upande Houston mpaka leo hii, kwa kuuza kopi zaidi ya milioni 25 kwa dunia nzima,[11] na pia ni miongoni mwa albamu zilizouza vizuri nchini Marekani na pande zingine za dunia kwa muda wote. Whitney Houston

Orodha Nyimbo[hariri]

  1. "You Give Good Love" (LaLa) – 4:37
  2. "Thinking About You" (Kashif, LaLa) – 5:26
  3. "Someone for Me" (Raymond Jones, Freddie Washington) – 5:01
  4. "Saving All My Love for You" (Gerry Goffin, Michael Masser) – 3:58
  5. "Nobody Loves Me Like You Do" (James Patrick Dunne, Pamela Phillips-Oland) – 3:49
  6. "How Will I Know" (George Merrill, Shannon Rubicam) – 4:36
  7. "All at Once" (Masser, Jeffrey Osborne) – 4:29
  8. "Take Good Care of My Heart" (Steve Dorff, Pete McCann) – 4:16
  9. "Greatest Love of All" (Linda Creed, Masser) – 4:51
  10. "Hold Me" (Creed, Masser) – 6:00

Historia ya chati[hariri]

Albamu
Nchi Nafasi
Iliyoshika
Jumla
Majuma
Certifications Mauzo
US Billboard 200 1 162 Diamond+3xPlatinum 14,200,000
U.S. Top Black Albums 1 -
Australia 1 125 4x Platinum 400,000
Kanada 1 99 Diamond 1,000,000
Switzerland 2 32 - -
Austria 9 32 - -
Sweden 1 32 - -
Norway 1 28 - -
UK Albums Chart 1 - 6x Platinum 1,800,000
German Albums Chart 1 67 Platinum 500,000
Italia 1 29 - -
Ufaransa 13 - Gold 100,000
Japan 4 76 - 460,000
New Zealand 1 103 2x Platinum 40,000
Netherlands 6 63 Platinum 80,000
| width="50%" align="left" valign="top" |
Single
Mwaka Single Chati Nafasi
1985 "You Give Good Love" Adult Contemporary 4
Hot Black Singles 1
The Billboard Hot 100 3
"Saving All My Love for You" Adult Contemporary 1
Hot Black Singles 1
The Billboard Hot 100 1
UK Singles Chart 1
"Thinking About You" Hot Dance Music/Club Play 24
Hot Black Singles 10
1986 "How Will I Know" Adult Contemporary 1
Hot Black Singles 1
The Billboard Hot 100 1
Hot Dance Music/Club Play 3
UK Singles Chart 5
"Greatest Love of All" Adult Contemporary 1
Hot Black Singles 3
The Billboard Hot 100 1
UK Singles Chart 8
|}

Tanbihi[hariri]

  1. Wynn, Ron. Review: Whitney Houston. Allmusic. Retrieved on 2009-08-07.
  2. Rogers, Prentis. "Review: Whitney Houston". Atlanta Journal-Constitution: 22. 30 Machi 1985.
  3. Christgau, Robert. "Review: Whitney Houston". The Village Voice: 30 Aprili 1985. Archived from the original on 2009-08-07.
  4. Columnist. Review: Whitney Houston. Los Angeles Times. Retrieved on 2009-08-07. Note: Original star ratings represented by (*) are not reprinted at the url page.
  5. Columnist. "Review: Whitney Houston". Q: 160. Desemba 1999.
  6. Devitt, Rachel. Review: Whitney Houston. Rhapsody. Retrieved on 2009-08-07.
  7. Shewey, Don. Review: Whitney Houston. Rolling Stone. Retrieved on 2009-08-07.
  8. Wete, Brad. "The Beginning: Whitney Houston". Vibe: 106. Septemba 2008.
  9. Larkin, Colin. "Review: Whitney Houston". Virgin Encyclopedia of Popular Music: 1 Machi 2002.
  10. Leroy, Dan. Review: Whitney Houston. Yahoo! Music. Retrieved on 2009-08-07.
  11. http://music.ninemsn.com.au/article.aspx?id=345798

Marejeo[hariri]

Viungo vya nje[hariri]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Whitney Houston (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.