member

Thursday 9 August 2012

HISTORIA YA BRUCE LEE


Bruce Lee

Sanamu ya Bruce Lee huko Hong Kong
Bruce Jun Fan Lee (anajulikana zaidi kwa jina la Bruce Lee) alikuwa mtaalamu wa sanaa ya upambanaji ya asili ya China kama vile Kung Fu. Staili yake aliyokuwa akitumia aliita Jun Fan Gung Fu. Alikuwa pia mcheza sinema mahiri. Bruce Lee alizaliwa Novemba 271940 nchini Marekani na kufariki dunia Julai 201973. Kati ya sinema zilizompatia sifa na umaarufu mkubwa duniani ni ile ya Enter the Dragon.

No comments: