member

Tuesday 21 August 2012

LIONEL MESSI


Lionel Messi


Lionel Messi
Lionel Messi Player of the Year 2011.jpg
Messi playing for Barcelona
Personal information
Full nameLionel Andrés Messi[1]
Date of birth24 June 1987 (age 25)[1]
Place of birthRosarioArgentina[1]
Height1.69 m (5 ft 7 in)[1]
Playing positionForward
Club information
Current clubBarcelona
Number10
Youth career
1995–2000Newell's Old Boys
2000–2003Barcelona
Senior career*
YearsTeamApps(Gls)
2003–2004Barcelona C8(5)
2004–2005Barcelona B22(6)
2004–Barcelona215(171)
National team
2004̣–2005Argentina U2018(14)
2008Argentina U235(2)
2005–Argentina71(27)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 22:30, 19 August 2012 (UTC).
† Appearances (Goals).
‡ National team caps and goals correct as of 23:30, 16 August 2012 (UTC)
Lionel Andrés Messi amezaliwa tarehe 24 june 1987, ni mwanasoka wa kiagentine, ambaye anachezea katika timu ya barcelone inayoshirika Laliga, pia ni kapten timu ya taifa ya Argantina anacheza kama mshambuliaji.  Ndiye mchezaji anayefunga sana timu ya Barcelona.

Mwaka 2009 uliofuata alioshinda Bullon dor na pia alikuwa mchezaji bora wa FIFA pia 2010 na 2011.  Katika umri wa miaka 21, Messi alipata Ballon d’oi- na kuwa mchezaji bora wa FIFA. Pia katika msimu wa mwaka 2010-2011 alikuwa mchezaji bora wa Ulaya.  Messi ni mchezaji nne kushinda mara tatu Ballon dor, baada ya Johan Cruyff, Michael Platin na Marco vaa Basten na ni mchezaji wa pili kushinda Ballon d or- bunda Michael Platin Staili ya uchezaji wake inafanana ili ya Diego Maradona ambaye yeye mwenyewe amesema Messi ni mtu anayefanana naye.Messi ameshinda Kombe la liga mara tano na ameshinda kombe la klabu bingwa Ulaya mara tatu.  Na amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda magoli matano katika mechi moja 7-1 dhidi ya Bayer leverkusen.  Ukijumlisha magoli yake mawili katika mechi ya AC Milan anafikia rekodi ya Jose Altafini kufunga magoli 14, katika mashindano ya UEFA kwa msimu mmoja. Pia ni mchezaji wa kwanza kuwa mfungaji bora katika misimu mi nne ya UEFA.  Pia ameweka rekodi ya kufunga idadi nyingi ya magoli kuliko mchezaji yeyote kwa msimu mmoja 2011-2012 kwa kufunga magoli 73.  Pia ameweka rekodi nyingine ya kufunga magoli mengi zaidi Laliga kwa kufunga magoli 50.

Messi alikuwa mfungaji bora katika Kombe la dunia la vijana mwaka 2005 alifunga magoli sita.  Mwaka 2006 akawa muagentina wa kwanza mdogo kucheza kombe la dunia, pia alishinda lombe la copa America, mwaka uliofuata na akachaguliwa kuwa mchezaji bora chipukizi wa mashindano.  Alishinda Mashindano ya Olimpiki mwaka 2008 na Argentina

Contents

  [hide

MAISHA YAKE YA MWANZO


Messi alizaliwa Rosario, Santa Fe provice wazazi wake ni  Jorge Hasacio Mess.  Alikuwa mfanyakazi wa kiwanda cha chuma na na mama celia Maria Cuccitini alikuwa nafanya kazi za usafi muda wa ziada, sehemu ya familia ukoo inasili yake ni katika kwenye Kijiji kimoja Italy Ancoma, Babu yake wa ukoo Angelo Messi alihamia argentina mwaka 1883.  Ana kaka wawili Rodrigo na Martias na dada yake Maria sol.

Akiwa na umri wa miaka mitano alianza kucheza timu ya arandol, ni klabu ya mtaani ambapo baba yake alikuwa kocha, Mwaka 1995 Messi alihamia Newell old Boye timu amabayo inatokea katika mji wake wa Rosario

Akiwa na umri wa miaka 11 alipata tatizo la kupungukiwa homoni za ukuwaji.  River plati ilionesha nia ya kutaka kumtibia lakini haikuwa na pesa za kutosha kulipa dola 900 kwa mwezi kwa ajili ya matibabu yake, carles Rexach meneja wa kusaka vipaji Barcelona aliona kipaji cha messi na kuamua kumsaidia kwa sharti la kuhamia Bacelona.

WASIFU WA KLABU

Barcelona


Messi alicheza katika timu ya Barcelone ya cadete B&A kuanzia mwaka 2000 hadi 2003.  (Na alifunga magoli 37 katika mechi za cadete A)
Muda chini ya mwaka mmoja tangu Frank Rijikard awe kocha ,alimpa Messi mechi ya kwanza katika ligi dhidi ya RCDES pianol tarehe 16 october 2004 (Akiwa na miaka 17 ana siku 114)
Alikuwa mchezaji wa tatu mdogo wa Barcelona kucheza kwenye ligi kuu, ambapo rekodi yake imevujwa na Bojan krkia September, 2007, na alifunga goli lake la kwaza katika ligi terehe 1 may 2005 walipocheza dhidi ya Albacete Messi alikuwa na miaka 17 ana miezi kumi na siku saba.  Akawa mchezaji wa kwanza mdogo kufunga katika ligi ya Hispania mpaka Bojana krkia kuvunja rekodi uake mwaka 2007.
Messi pia anasema “Awezi kumsahau kocha wake Frank Rijkud kwa kukuza kipaji chake na kumpa hali ya kujiamini akiwa na umri mdogo wa miaka 17 katika msimu huo pia Messi alicheza Bacelona B na kufunga magoli 6.  Katika mechi 17.






MSIMU WA 2005–06 


Tarehe 16 September, miezi mitatu tangu Barcelona watangaze kuwa wamempa mkataba mpya na kumuongezea mshahara kama mchezaji wa timu ya wakubwa; na mkataba wake kuisha 2004.  Messi alipata uraia wa Hispania tarehe 26 september 2005.


Messi alifunga Magoli 17 katika ligi na kufunga goli moja katika mechi sita za ligi ya ulaya.  Alikuwa akawa chipukizi bora wa msimu licha yakupata matatizo ya misuli wakati wa mechi ya klabu bingwa ulaya dhidi ya Chelsea.  Msimu huo Barcelona waliumaliza kwa kuchukua ligi ya Hispania na UEFA.


MSIMU 2006–07 


Messi in a match against Rangers in 2007
Messi alifunga magoli 17 katika mechi 26.  Tarehe 12 November mechi dhidi ya Real Zaragoza.  Messi alivunjika na kaka nje kwa miezi mitatu.  Tarehe 11 march Messi alifunga hatrick katika mechi ya Elclasico akiiongoza Barcelona ya watu kumi kudroo 3-3.  



Messi shortly before scoring a goal against Getafe
Alikuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat tric katika Eldasico tangu ivan zamorano wa Real Madrid kufanya hivyo mwaka 1994-95 Messi ndie mchezaji mdogo zaidi kushinda kwenye Elclasico Messi alithibitisha kuwa yeye ni maradona mpya baada ya tarehe 18 April 2007 alipofunga magoli mawili katika capadel Rey katika Nuse Fainali dhidi ya Getafe CF goli moja lilifanana na lile la piego mara dona alilowafunga England mwaka 1986 katika Fainali za Kombe la dunia nchini Mexico ila lilikuwa ni goli la karne katika goli hilo aliwakimbia umbali wa mita 63 na aliwatoka wachezaji sita sawa na wachezaji aliowatoka maadona na akafunga goli ambalo reply zilionyesha ni wa zi goli la mkono wa mungu.  Mchezaji mwenzake Deco anasema ni goli zuri ambalo hakuwahi kuliona katika maisha yake.



MSIMU 2007–08 


Messi takes Barcelona to 2–0 against Sevilla at Camp Nou on 22 September 2007
Tarehe 27 February Messi alicheza mechi yake ya 100 ilikuwa kati ya Barcelona na Valencin CF.

Messi ni miongoni mwa washambiliaji ambao hawajawahi kutokea jina lake lilitajwa na FIFA pro wordxi player Award.  Gazeti la EI mundo peportion na spot yalianza kusema Ballon Dor anatakiwa apewe Messi.  Mchezaji Francisco Tottii akatangaza kwamba messi ni miongoni  mwa wachezaji bora Messi alishika nafasi ya tatu nyuma ya kaka na Cristian Ronaldo nyuma ya kaka na Cristino Ronaldo na akamaliza nafasi ya pili katika tuzo ya  uchezaji bora wa dunia na mwaka 2007. FIFA word player of year, award, tena nyuma ya kaka.

Messi alipata matatizo ya misuli katika mechi ya ligi ya ulaya dhidi ya celtic. FC ilikuwa mara ya nne kwa misimu mitatu kupata majeraha.  Messi  alifunga magoli sita katika fainali ambazo walitolewa kwenye mechi ya nusu fainali na Manchester united.  Msimu ulipoisha messi alikuwa amefunga magoli 16 na kutoa pasi za magoli 13 katika mashindano yote.


MSIMU 2008–09 

 Baada ya kuondoka Ronaldinho kuondoka Messi alichukua jezi namba 10. 2008 akawa mchezaji bora wa FIFA wa dunia.  

Michael Carrick defending a shot from Messi in the 2009 UEFA Champions League Final
Messi alifunga hattrck yake ya kwanza katika msimu huo katika mechi ya copa del Rey dhidi ya Atletico Madrid ambapoBarcelona ilishinda 3-1.

Messi alifunga magoli mawili katika mechi nyingine  muhimu tarehe 1 February akitokea benchi kuisaidia Barcelona kushinda 2-1 dhidi ya Rancing santanda, wakati ilikuwa nyuma ya 1-0 hilo hayo magoli mawili yakamilisha idadi ya magoli 5000th katika ligi ya Barcelona, Msimu ulipokaribia kuisha Messi alifunga magoli mawili dakika ya (35th na 34th ) katika mechi ulioifunga Mdrid goli 6-2 Bernabeu, ulikuwa ni ushindi mkubwa tangu mwaka 1930.  Pia 13 may. Alifunga goli moja na wakashinda copa del ley dhidi ya Atletic Bilbao ushindi wa 4-1.  Pia aliisaidia timu kupata ubingwa wa pili mfulilizo.  Pia tarehe 27 may aliisaidia Barcelona kushinda klabu bingwa ulaya baada ya kufunga goli la pili dhidi ya Manchester united Messi alishinda tuzo ya uchezaji bora wa ulaya.  Huu ushindi wa copadel ray

Laliga na UEFA katika msimu mmoja hiyo ni kwa mara ya kwanza klabu ya Hispania kushinda makombe yote matatu.  Messi akamaliza akiwa na magoli 38 na kusaidia kupatika magoli 18 katika mashindano yate.


MSIMU 2009–10 

"The Maradona and Pelé polemics will end"
 —Diego Maradona, on the consequences if Messi won the 2010 World Cup[72]

Baada ya kuchukua ubingwa wa UEFA 2009. Kocha pep Gurdiola akasema Messi ni mchezaji bora ambaye hajapata kumuona kama yeye.  Pia akambadilisha position akampeleka kucheza wingu ya kulia alafu akawa kama number tisa ya uongo ambaye anacheza kati mbele ya Barcelona Tarehe 18 September Messi alisaini mkataba mpya hadi 2016 wenye thamani ya euro 250 milioni.  Ikamfanya Messi na Zlatan Ibrahimovic kuwa wachezaji wanaolipwa zaidi Laliga amabapo walipokea   euro 9.5 milion kwa mwaka




Messi alitajwa kama mshindi wa 2009 Ballon d or tarehe 1 December 2009 akimshinda Cristiano Ronaldo kwa umbali wa point 473 dhidi ya 233
Tarehe 19 December Messi alishinda kombe la klabu bingwa duniani siku mbili baadayalitajwa katika mchezaji bora wa msimu akimshinda Cristiano Ronaldo, Xavi, kaka na Andres Inesta, tarehe 10 january 2010 Messi alifunga hat tric yake ya kwanza mwaka 2010 dhidi ya CD Tenerife. 



"Once he's on the run, Messi is unstoppable. He's the only player who can change direction at such a pace."
"He is the best player in the world by some distance. He's (like) a PlayStation. He can take advantage of every mistake we make."
Arsène Wenger after Barcelona won 4–1against Arsenal.[89][90]

 



Katika ushindi wa 0-5 na tarehe 17 january alifunga goli lake la 100 katika klabu katika ushindi wa goli 4-0 dhidi ya sevila FC.


Messi alifunga hat trick dhidi ya Valencia CF 3-0 katika mechi ya nyumbani na mechi yake ya mwisho kufunga hattrick ilikuwa na dhidi ya Real Zaragoza mechi ya ugenini ambapo walishinda 4-2, Akawa mchezaji wa kwanza wa Barcelona kufunga hattrick mara kwa mara.
Tarehe 6 April 2010 kwa mara ya kwanza Messi alifunga goli nne katika mechi moja dhidi ya arsenal ambapo walishinda goli 4-1 dhidi ya Arsenal katika fainali za klabu bingwa ulaya robo fainali katika mechi ya pili.  Pia akavunja Rekodi ya Rivaldo ya kuwa mfungaji bora wa Barcelona katika muda wote katika mechi ya mwisho dhidi ya villadolid alifunga magoli mawili ambayo yalivunja rekodi ya Ronaldo ambaye aliwahi kufunga magoli 34 katika msimu mmoja 1996-1997.  Akateuliwa kuwa mchezaji bora wa Laliga tarehe 3 June 2010.  Akamaliza msimu akawa na magoli 47 akavunja rekodi ya Ronaldo ya mwaka 1996-1997.  Pia akatoa pasi za magoli 11.

 






MSIMU 2010–11 


Tarehe 21 August Messi alifunga hattrick katika mechi yake ya kwanza katika ushindi wa goli 4-0 dhidi ya sevilla FC katika Supercopa de  Espana akaisaidia Barcelona kuchukua taji lake la kwanza baada ya kufungwa 1-3 katika mechi ya kwanza .Tarehe 19 september Messi  alipata matatizo ya ankle baada ya kuumizwa na beki wa Atletico Madrid Tomar  katika dakika ya 92 katika mechi ya tatu katika dimba la Vicente calderon stadium.  


Messi playing against Real Madrid in a Champions League match


Kwa kuhofia Messi anaweza akakaa nje msimu mzima.  Mchezaji mwenzake nje Barcelona David villa Alisema kuwa  tackle ilifanya makusudi ili kumuumiza Messi” Baada ya kuangalia video waligundua kuwa hakuenda kufanya tackle kwa ajili ya kumuumiza  Messi.  Ajali hiyo ilikuwa gumzo kwenye vyombo vya habari ili kuwalinda wachezaji wengi na wasiumie.



Dhidi ya Almeria Messi alifunga hattrick katika ushindi wa ugenini wa 8-0.  Akatimiza magoli 100 katika Laliga




Messi akachukua 2010 FIFA Ballondor kwa kuwashinda wenzake wa timu moja Xavi na inaesta  Tarehe 5 February Barcelona walivunja rekodi ya kushinda mechi 16 mfululizo baada ya kuifunga Atletico Madrid 3-0 katika uwanja wa camp nou.   Messi alifunga hatrick ilikuhakikisha rekodi inafikiwa baada ya mechi kuanza


Baada ya kushindwa kushinda kwa muda wa mwezi mzima alifunga tena dhidi ya AD Almeria kufunga magoli 47 sawa na rekodi yake ya mwanzo Alivunja rekodi yake baada ya kufunga dhidi ya Shakutar Donetsk katika kombe la UEFA. Ambapo akawa mfungaji bora wa Barcelona kwa muda wote.  Alifunga goli lake la nane la Elclasico katika mechi ya 1-1 sautiago Brnabeu.  Stadium.  
Tarehe 23 April.  Messi alifunga goli lake la 5-0 katika msimu dhidi ya ca Osasuna katika ushindi wa 2-0 wa nyumbani ambapo aliingia kama mchezaji wa akiba akiingia dakika ya 60th minute.  Alimaliza msimu kwa kufunga magoli 31 akiwa amepitwa na Cristiano Ronaldo ambaye alifunga magoli 40 Messi alikuwa mfungaji bora wa Ulaya nzima.

Tarehe 20 April Burcelona walifungwa na Real Madrid katika copa de Rey Finali mechi mwaka 2011.  Messi alimtengeneza mwenzake Pedro na kufunga goli ambalo lilikuwa offside.  Cristinao Ronaldo alifunga goli ambalo lilitoa Barcelona licha ya hivyo Messi na Ronaldo wakawa wafungaji bora wa mashindano hayo kwa kufunga magoli 7 katika mechi ya kwanza ya klabu bingwa ulaya alicheza vizuri.  Kiasi cha kukumbukwa baada ya kufunga goli mbili katika mechi ya kwanza dhidi ya real Madrid ambapo Barcelona walishinfa 2-0.  Katika Mechi ya mwisho ya klabu bingwa Ulaya alifunga goli dhidi ya Manchester united na kuiwezesha Barcelona kuchukua ubingwa.  Messi akamaliza akiwa na magoli 12 katika msimu mmoja wa  UEFA ambapo alifikia rekodi ya Rund Vaa Nistrel rooys rekodi ya kufunga magoli 12 katika  msimu mmoja wa kombe la Ulaya.  Lakini mtu aliyefunga sanaa alikuwa ni Jose  Altafini ambaye alikuwa na magoli 14 ambaye Messi alikuwa bado hajafunga. 


MSIMU 2011–12 



Messi alianza kwa kuipa Barcelona super cup baada ya kuifunga madrid kwa jumla idadi ya magoli 5-4.  Pia alifunga katika mechi ya super- cup dhidi ya porto ambapo walishinda goli 2-0 ambapo goli moja lilifungwa na Febregas.



Baada ya kufunga goli la kwanza pamoja na hattrick dhidi ya CA Osasuna.  Messi alisherekea na motto wa Soufian mwenye miaka 10 wa Moroco ambaye alikuwa namatatizo ya Launu Sunfrow na akatuma pesa za matibabu kwa ajili ya mototo huyo.



Messi alifunga goli katika mechi yake ya klabu bingwa Ulaya dhidi ya Sautos FC na akawa mchezaji bora wa mechi na akawa Golden ball katika mashindano.



Messi alishinda 2011 UEFA best player in Europe Award.  Kwa mshinda mwenzake wa Barcelona Xavi na kutoka Real Madrid Cristiano Ronaldo pia akashinda 2011 FIFA Ballondor akawa mchezaji wan ne kusinda Ballon d’or mara tatu akiungana na Jahan Cruff, Michael Platiul na Marco can Basen na akawa mchezaji wa pili kushinda Ballon d’or mara tatu mfululizo akiungana na Michael Platin.



Tarehe 19 February 2012.  Katika mechi lake la 200 ya Laliga Messi katka mechi ya magoli 5-1 dhidi Valencia CF tarehe 7 march Messi alikuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli matano katika UEFA Champions League baada ya kuifunga Bayer Leverkusen katika ushindi wa goli 7-1



Tarehe 20 March Messi alifunga magoli matatu dhidi ya aranada CF na kumfanya kuwa ndiye mchezaji anayeongoza kufunga magoli mengi zaidi Barcelona akimpita cesar Rodriguez ambaye alikuwa na magoli 232.



Tarehe 3 April Messi alifunga magoli mawili ya penalts dhidi ya AC Milan katika mechi ya pili ya UEFA ya robo fainali na kufikia rekodi ya Jose Altafini kufunga magoli 14 kwa msimu mmoja.  Barcelona walitolewa kwa kufungwa na mabingwa wa UEFA Chelsea.

Tarehe 11 April Messi alifunga goli la 65 dhidi ya Getafe na akaipita rekodi ya Isidro langaraya kufunga magoli 60.  Katika msimu mmoja Hispania (1933-1934)
Tarehe 2 May Messi alifunga hattrick dhidi ya Malaga FC akaipita rekodi ya Cerd Mullers kufunga magoli 62 (1972-1973) kwa magoli 68.  Akawa ndiye mfungaji bora wa kihistoria Ulaya. Kwa kufunga magoli mawili mawili katika mechi 21 na hattrick saba.  Katika Laliga Akafunga magoli manne dhidi ya RCD Espunol na kumfanya asiwe rahisis kufikiwa kwa kufikia idadi ya magoli 72.  Akawa mchezaji wa pili duniani
 kufunga magoli zaidi ya 70 akiungana na Archiestark wa Bethlehem steel katika Amercan Soccer League 1924-25.
Tarehe 25 may akafunga katika 2012 copadel Rey final akaisaisia Barcelona kushinda taji la 26 na kuongeza idadi ya magoli kufikia 73.  Baada ya kupoteza kombe la Ligi.  Pep Gurdiola alijiuzulu Mwisho wa Msimu aliweka rekodi ya kufunga magoli 50 akawa mchezaji wa pili kwa kutoa pasi za magoli 16.  Akawa mfungaji bora wa UEFA mara nne mfululizo chini ya Gurdiola akamaliza na magali 73 na kutoa pasi za magoli za katika mashindano yote.


                               ITAENDELEA..................................................................


No comments: