member

Saturday 18 August 2012

MJUE RONALDINHO


Ronaldinho


Ronaldinho
Ronaldinho061115.jpg
Ronaldinho with Brazil
Personal information
Full nameRonaldo de Assis Moreira
Date of birth21 March 1980 (age 32)
Place of birthPorto AlegreBrazil
Height1.81 m (5 ft 11 12 in)[1]
Playing positionAttacking midfielder / Forward
Club information
Current clubAtlético Mineiro
Number49
Youth career
1987–1998Grêmio
Senior career*
YearsTeamApps(Gls)
1998–2001Grêmio52(21)
2001–2003Paris Saint-Germain55(17)
2003–2008Barcelona145(70)
2008–2010Milan76(20)
2011–2012Flamengo33(15)
2012–Atlético Mineiro9(3)
National team
1996Brazil U176(2)
1999Brazil U205(3)
2000–2008Brazil U2327(18)
1999–Brazil94(33)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 19 July 2012.
† Appearances (Goals).
‡ National team caps and goals correct as of 31 May 2012
Ronaldo de Assis Moreira amezaliwa 21 march 1980,anajulikana kama Ronaldinho,ni mchezaji wa kibrazili ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Atletico Mineiro na kwa timu ya taifa anacheza kama kiungo mshambuliaji au mshambuliaji.Alikuwa mchezaji bora wa FIFA kwa miaka miwili mfululizo mwaka 2004 na 2005.Ili kujitofautisha na mchezaji mwingine wa kibrazili Ronaldinho aliamua kujiita Gaucho.Alipofika ulaya aliacha kujiita Gaucho na kuendelea na jina la Ronaldunho.Alicheza Flemingo,Paris saint GermainFC,FC Barcelona na AC Milan.Alishinda tuzo ya Ballon dor mwaka 2005.Alipata uraia wa hispania januari mwaka 2007
Ni muongoni mwa wachezaji mia bora zaidi duniani pamoja na mwenzake mbrazli Pele,Yeye yupo nafasi ya kumi na moja.

Contents

  [hide

MAISHA YA MWANZO

Ronaldinho alizaliwa katika mji wa Porto ALEGRE.Mama yake anaitwa Dona MIGUELINA,Ambaye alikuwa nessi.Babayake ni Joas de Asis Morella, yeye ni mfanyakazi wa wa melini na pia alikuwa mchezaji wa timu ya mtaani Esporte club cruzeiro(usichnganye na Cruzeiro).Alipata matatizo ya moyo wakati Ronaldinho akiwa na miaka nane,Baadaye kaka yake Ronaldinho Roberto alisajiriwa na klabu ya Gremio .Familia ilihamia katika maisha bora mjini Porto  Alegre ,hii ilikuwa ni zawadi ya klabu ili kumshawishi Roberto abaki klabuni.Mpira wa Roberto ulifikia ukingoni baada ya kupata majeraha makubwa.Uwezo wa Ronaldinho ulianza kuonekana akiwa na miaka nane .na alipopewa jina la utani Ronaldinho kwasababu ndiye mchezaji mdogo kuliko wote kwenye timu .Uwezo wake zaidi ulionekana alipokuwa na miaka kumi na tatu alipofunga magoli 23 katika ushindi wa 23-0 dhidi ya klabu ya mtaani.Alikuwa ndiye mchezaji bora chipukizi katika kombe la dunia la chini ya umri wa miaka 17 mwaka 1997 Misri na alifunga magoli mawili ya penati
Kwa sasa Roberto ndiye meneja wake.Ronaldinho alipata mtot wa kwanza mwaka 2005 wakati mcheza mziki wakibrazili  Janaina Mendes alipojifungua mwanae ambaye aliitwa Jono.Mwaka 2005 Ronaldinho alipata kutangaza tangazo la NIKE

WASIFU WA KLABUNI

Grêmio

Ronaldinho alianza kucheza soka katika klabu ya vijana ya Gremio.Alijiunga na klabu ya wakubwa mwaka 1998,2001 Arsenalilionyesha nia ya kumtaka.Lakini ilishindikana kwasababu alikuwa hajacheza mechi nyingi za kimataifa na alipata kashfa ya kuwa na passpoti feki

Paris Saint-Germain


Mwaka 2001 Ronaldinho alisajiliwa na klabu ya Paris-saint -Germin kwa ada ya uero 5 million.Alipofika alipewa jezi namba 21 na akaungana na mbrazili mwenzake Aloisio na viungo kama Mikel Arteta na Jay-Jay Ockocha.Ronaldinho alilipa deni klabuni baada ya kuingizwa kama mchezaji wa akiba na kufanya matokeo kuwa 1-1 dhidi ya Auxerra katika mechi ya ligi.Ronaldinho alitumia muda wa mwaka 2001 kama mchezaji wa akiba.Alifunga goli lake la kwanza klabuni katika mechi waliotoka sare 2-2 dhidi ya Lyno ambapo alifunga kwa penalti baada ya kupewa dakika kumi tu za kucheza .Baada ya kurudi katika kipindi cha baridi alifunga magoli mfululizo kila mechi aliyoingizwa katka mechi ya Monaco,Reunes,lens,Lorient.
Ronaldinho pia aliisaidia timu yake kufika hatua ya nusu fainalikatika kombe la Coupe de la Lique.Lakini walitolewa na Bordeaux ,Pia alifunga katika hatua ya kumi na sita bora dhidi ya Guingamp.Ronaldinho alifunga goli la mwisho katika msimu wa ligi dhidi ya Metz 27 April baada ya kutokea benchi katika ushindi wa 2-0.Licha ya mafanikio ya klabu meneja wa Paris Saint Germain Luis Fernandes alimlaumu kwa kwenda kwenye kumbi za starehe usiku kuliko kucheza mpira
Licha ya lawama alizozipata kutoka kwa Fernades ,Ronaldinho aliingia msimu uliofuata 2002-2003 kama mchezaji wa kikosi cha kwanza ma kupewa jezi namba kumi.Ronaldinho alikubalika zaidi klabuni siku ya 26 October 2002 ,alipofunga magoli mawili katika ushindi wa 3-1  dhidi ya Marseilli.Goli la kwanza alifunga kwa faulo.Pia alifunga katika mechi ya ushindi wa 3-0 dhidi stade velodrome pia alifunga goli mbili peke yake katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Bordenux.Ikamfanya awe miongoni mwa wachezaji wanaotegemewa .Licha ya kucheza vizuri klabu ilishika nafasi ya 11,Na msimu uliofuata Ronaldinho akataka kuondoka kutokana na kushindwa kufuzu katika mashindano yoyote ulaya na timu kuyumba kiuchumi

Barcelona


Ronaldinho with Frank Rijkaard at NASA'sJohnson Space Center.
Raisi wa barcelona Joan Laporta aliahidi kumleta David Beckham kwenye klabu.Lakini alihamia Real madrid.Barcelona walijikita katika kumfukuzia Ronaldinho na wakawashinda Manchester United baada ya kupata sahihi  yake ,kwa uhamisho wa uero 30 million.Alilipa fadhila baada ya kushinda katika mechi yake ya kwanza goli moja ,ilikuwa ni dhidi ya AC milan na mechi ilikuwa ya kirafiki ambapo barcelona ilishinda 2-0 mechi iliyochezwa marekani .Baada ya kuumia kwenye mzunguko wa kwanza wa lig alirudi kuisaidia barcelona kushika nafasi ya pili


Ronaldinho taking a corner against Celta Vigo in 2005
Ronaldinho alishinda taji lake la kwanza katika msimu wa ligi wa 2004-2005 na akawa mchezaji bora wa dunia tarehe 20 December 2004.Pia alichukua tuzo nyingine mwaka uliofuata akiwashinda Frank Lampard wa Chelsea na mwenzake wa Barcelona Samweli etto aliyeshika nafasi ya tatu.Barcelona walitolewa na Chelsea katika mashindano ya ulaya baada ya kufungwa 4-2.na magoli yote mawili ya Barcelona alifunga Ronaldinho.katika mkataba wake wa 2008 alipewa mpaka 2014 kwa dau la uero 85 million kwa miaka nane,lakini kiwango kilishuka .September 2005 alisaini mkataba wa miaka miwili kwa ada ndogo chini ya dau la mwanzo.Mwaka 2004-2005 Ronaldinho alipata zawadi ya uchezaji bora wa mwaka 2005 pamoja na jina lake kutajwa katika wachezaji 100 waliowahi kutokea duniani FIFAPro world.Pia alikuwa mchezaji bora wa ulaya .Tarehe 19 November Ronaldinho alofunga magoli mawili walipoifunga 3-0 Real madrid akashinda Elclsico yake ya kwanza.Baada ya goli lake la pili alipata zawadi ya heshima kwa mashabiki wote wa Madrid kwa kusimama wote kumpongeza .Ronaldinho alichaguliwa katika timu ya UEFA kwa miaka mitatu mfululizo hadi January 2006 .na aliisaidia Barcelona kuitoa Benfica mwaka 2005-2006 katika kombe la klabu bingwa  ulaya katika ushindi wa robo fainali nyumbani 2-0.na ushindi wa nusu fainali 1-0 dhidi ya Milan ambapo Ronaldinho alitoa pasi ya goli lililofungwa na Ludovic Giuly.Barcelona walichukua kombe kwa kuifunga Arsenal 2-1 .Wiki mbili kabla Barcelona walichukua ubingwa wa hispania baada ya kuifunga Celta Vigo.Huu ulikuwa ubingwa wa pili wa Ronaldinho akimaliza na magoli 26 kwa mashindano yote alitangazwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2005-2006.
Tarehe 25 November 2006 Ronaldinho alifunga goli lake la 50 la ligi dhidi ya Villareal .Pia akafunga goli lingine ambalo liliitwa overhead bicycle kick.Alisema wakati alipoulizwa kwamba hilo ni goli alilokuwa anatamani kulifunga toka alivyokuwa mtoto.Pia alifunga mara moja na kutengeneza nafasi mbili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya klabu kutoka mexico Club America 14 December katika fainali za klabu bingwa duniani .Lakini Barcelona ilifungwa goli 1-0 na klabu ya kibrazili Club Internaconal .Ronaldinho alpata zawadi ya Broze Ball Award katika mashindano hayo
Mwaka huo Ronaldinho alimaliza akiwa mchezaji bora namba tatu wa FIFA nyuma ya kapteni wa washindi wa kombe la dunia Fabio Cannavaro na Zinedine Zidane .Ronaldinho alikuwa mchezaji bora wa ulaya kwa mara ya tatu alitangazwa January 2007.Alipata kura zaidi ya 290,000.Alilazimika kukosa baadhi ya mechi katika ligi kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mechi dhidi ya Realmadrid ambapo walitoka sare ya 3-3 .Alipata mechi yake ya 200 katika mchezo wa Barcelona dhidi ya Ososuno tarehe 3 february 2008.alikuwa na majeraha 3 april.Tarehe 19 may Laporta alisema Ronaldinho anahitaji challenge mpya ili kuendeleza kipaji chake .Mmiliki wa Manchester city Thaksin Shinawatra alithbitisha kwamba anania yakumchukua dinho.Nafasi ya Ronaldinho ilichukuliwa na Lionel Messi katika mechi waliotoka 7-7 didi ya Internatinal star  Ronaldinho alifunga magli mawili na kutengeneza mengine mawili hiyo ndio ilikuwa mechi ya mwisho ya Ronaldinho Barcelona.

Milan


Ronaldinho playing for Milan in 2008
Mwezi julay 2008 .Ronaldinho alikataa dau la euro 25.5 million kutika kwa Manchester city na akajiunga na timu ya Italy ya ACmilan kwa mkataba wa miaka mitatu euro 6.5 kwa mwaka euro 22.05million ukijumuisha na pesa za bonasi uero 1.05 milioni jumla uero 24.15million .Lakini ilishindikana kupewa namba kumi kwa sababu tayari ilikuwa na mwenyewe Clarence Seedof.Alichagua numba 80


Ronaldinho playing for Milan in 2010
Ronaldinho alifunga goli lake la kwanza katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Intermillan tarehe 28 september 2008 .Pia alikuwa wa kwanza kufunga katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sampdoria ,tarehe 19 October 2008,Pia alifunga dakika ya 93 katika mechi dhidi ya Braga katika hatua za makundi UEFA .Alomaliza msimu wa kwanza akiwa na magoli 10 katika meche 32 alizocheza.
Msimu uliofuata alianza kwa kasi licha ya majeruhi ya mwanzo wa msimu alijikuta akitokea benchi.Lakini baada ya muda alirejea kwenye kiwango chake na kujikuta anakuwa mchezaji bora wa AC Milan katika msimu huo.
 Tarehe 10 January 2010 .Ronaldinho alifunga magoli mawili dhidi ya Juventus katika mechi ya ugenini ambapo walipata ushindi wa goli 3-0 .Mechi ilikuwa dhidi ya Siena Tarehe 17 January 2010.Ronaldinho alifunga hat trick yake ya kwanza AC Milan
Tarehe 16 february .Ronaldinho alicheza mechi yake ya kwanza dhidi ya Manchester United katika fainali za klabu bingwa ulaya .Mwanzo wa mechi aliipatia AC Milan goli lakuongoza lakini walitolewa kwa idadi ya magoli3-2
Hadi tarehe 13  April 2010 Ronaldinho alikuwa anaongoza kwa kutoa pasi za magoli katika seria A alitoa pasi 14 licha ya hivyo alikosa penati tatu katika msimu wa 2009-2010.Ronaldinho alimaliza msimu kushinda magoli mawili tu dhidi ya Juventus na Antonini alianza kushinda katika ushindi wa 3-0




Ronaldinho against Real Madrid

Flamengo

Baada ya miangaiko mingi barani ulaya alirudi kwenye timu ya utotni Gremio .Ronaldinho alijiunga na flemingo tarehe 11 January 2011 na mkataba wake uliisha 2014.Wakati wengi walijua ataenda Marekani au ligi ya Uingereza.Alipokelewa na zaidi ya mashabiki 20,000 katika klabu yake mpya tarehe 13 January.Alifunga goli lake la kwanza katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Boarista tarehe 6 february 2011 .Ronaldinho aliipa Flemingo ubingwa baada ya kufunga goli dakika ya 71 katika uwanja wa Eughao,Tarehe 27 July 2011 Ronaldinho alifunga hat trick katika ushindi wa 5-4 ugenini dhidi ya santos .Baada ya kuwa nyuma kwa goli 3-0 dakika 30 za mwanzo .Tarehe 31 may alipata matatizo kutokana na kutlipwa mshahara wake kwa miezi minne hivyo akavunja mkataba


Atlético Mineiro


Ronaldinho alihamia Atletico Minerro kwa mkataba wa miezi sita tarehe 4 june 2012.Ilikuwa siku ya nne tu baada ya kuachana na Flemingo.Alivaa jezi namba 49 kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mama yake aliitaka namba kumi lakini tayari ilikuwa na mtu naye ni Guilherme.Alilipa deni tarehe 9 June 2012 alipocheza dakika 90 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Parmeras.Goli lake la kwanza kufunga ilikuwa dhidi ya Nautic 23 June 2012 ndani ya eneo la penalt

wasifu wa kimataifa


Ronaldinho takes a corner kick during the2006 World Cup

Ronaldinho ni miongoni mwa wachezaji wachache wa kibrazili waliocheza katika mashindano ya kimataifa kila umri .Alikuwa katika kikosi cha kombe la dunia cha brazili chini ya miaka 17 mwaka 1997 nchini Misri. na goli lake la kwanza alifunga kwa penalt katika mexhi ambayo brazili walishinda 7-0 dhidi ya Austria.Katika mashindano Ronaldinho alifunga magoli mawili na kupewa tuzo ya Broze Ball.Brazil ilifunga magoli ishirini na moja wakati yeye alifunga magoli mawili tu

Ronaldinho with Brazilian President Lula
Mwaka 1999 alikuwa bize alicheza mashindano ya chini ya umri wa miaka ishirini ya America Youth Championshipalifunga magoli matatu na kuisaidia brazili kushka nafasi ya tatu.Pia alienda kushiriki katika mashindano ya vijana kombe la dunia .Alifunga goli lake la kwanza katika mechi ya mwisho ya kundi .na katika hatua ya kumi na sita bora alifunga magoli mawili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya croation.Tarehe 26 June alishinda kombe la kwanza la Copa America baada ya brazil kushinda goli 3-0 dhidi ya Latvia.W iki moja baada ya kuisha mshindano ya copa America aliitwa katika mashindano ya confideration cup.ambapo alifunga kila mechi isipokuwa fainali ukijumuisha hattrick dhidi ya saudi arabia katika ushindi wa 8-2.Ronaldinho hakufunga siku ya fainali brazili ikafungwa 4-3 na Mexico.Alichukua ufungaji bora,uchezaji bora na zawadi ya golden ball.
Mwaka 2000 .Ronaldinho alishiriki katika mashindano ya olimpiki sydeney Austria na timu ya Brazili chini ya miaka 23 .Mwanzo wa michuano aliiongoza brazili ili ichukue ubingwa lakini ilitolewa robo fainali  na Cameron,Ambapo baadaye ikachukua ubingwa.Ronaldinho alicheza mechi nne akashinda goli moja
Ronaldinho alishiriki katka mashindano ya kwanza ya kombe la dunia mwaka 2002pamoja na wachezaji bora wa kipindi hicho Ronaldo na Rivaldo ambapo wote walikuwa katika fainali za Copa America .Alicheza mechi tano na kufunga goli mbili alisaidia kupatikana kwa magoli muhimu .Goli lake la kwanza alifunga katika hatua ya makundi dhidi ya china ambapo brazili ilishinda 4-0.Goli lake la pili alifunga dhidi ya England  21 June katika dakika ya 50 kwa faulo ya umbali wa mita 35,alimfunga kipa wa England David Seaman na kuifanya brazili ishinde 2-1 .Lakini baadaye alitolewa baada ya kuumizwa na beki wa England Danny Mills.hakucheza nusu fainali akacheza fainali ambapo brazili ilishinda goli 2-0 dhidi ya Germany likawa taji lake la kwanza la kombe la dunia

Ronaldinho alishiriki katika kikosi cha confederetion cup mwaka 2003 Ronaldinho hakuweza kufunga goli na perfomance ya brazili ilikuwa mbaya na kutolewa hatua za makundi .Mwaka uliofuata kocha wa Brazil Carlos Alberto Parreira aliamua kuwapumzisha mastaa na kuwatumia vijana wapya .Alikuwa nahodha wa Brazil katika Confederation Cuo 2005.Ambapo walichukua ubingwa .Alikuwa mchezaji bora katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Argentina tarehe29 june.Ronaldinho alifunga magoli matatu kwenye mashindano .

Ronaldinho alianza katika mechi zote tano za Brazili katika fainali za kombe la dunia mwaka 2006 .Tarehe 24 mwaka 2007 alifunga magoli mawili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Chile .Hakuitwa kwenye kikosi cha 2007 Copa America kwa ruhusa ya kuchoka.Tarehe 18 October Barcelona walimpa adhabu ya kukaa benchi baada ya kukesha kwenye nightclub kusherekea ushindi wa mechi ya kirafiki kati ya brazili na Ecudor wa 5-0.
Tarehe 7 July 2008 Ronaldinho aliitwa katika kikosi cha brazili cha olimpiki kama mchezaji mkubwa Barcelona ilimzuia lakini alienda . hivyo akauzwa kwenda AC Milan .Ronnaldinho alifunga magoli mawili katika ushindi wa 5-0 dhidi ya New zeland.kabla ya Brazil kufungwa nusu fainali na Argentina .Licha ya kutajwa kwenye kikosi cha FIFA tarehe 11 may 2010 .kocha Dunga hakumuita katika kikosi cha wachezaji 23.kilichoshiriki kombe la dunia africa kusini mwaka 2010

September 2010 alirudi kwenye kikosi cha timu ya taifa katika mechi dhidi ya Ghana ambapo alicheza dakika 90 na brazili ilishinda goli 1-0.


Club

As of 9 June 2012.[66]
ClubSeasonLeagueCupContinentalOther[1]Total
AppsGoalsAssistsAppsGoalsAssistsAppsGoalsAssistsAppsGoalsAssistsAppsGoalsAssists
Grêmio199814102001532174--4882
1999176030042--2415--48230
200021140660------2221--49410
Total52210116019526340--145722
Paris Saint-Germain2001–0228986201422------481310
2002–032786730412------38128
Total55171113502034------862518
Barcelona2003–04321511631742------452214
2004–0535916000744------421320
2005–062917152111275211452622
2006–073221106031133------492416
2007–081787100812------3399
Total145705922454519162112149481
Milan2008–09298510162271--43118
2009–10361216000731142--571717
2010–111103000511------1614
Total7620241011864213--1162929
Flamengo201131147511320134052218
20122100008279401977
Total3315751111472180712815
Atlético Mineiro2012411000000000411
Total411000000000411
Career total365144103731671133733107521636249146
^ Other includes Brazilian state competitions and national super cups.

International

As of 28 February 2012.[67][68][69][70][71][72][73][74][75][76]
National teamClubSeasonAppsGoals
BrazilGrêmio1999137
200051
200131
Paris SG2001–200293
2002–200392
Barcelona2003–200452
2004–20051611
2005–200680
2006–200772
2007–200873
Milan2008–200950
2009–201000
2010–201110
Flamengo201151
201210
Total9433

Honours

Club

Grêmio
Paris Saint-Germain
Barcelona
AC Milan
Flamengo

International

Brazil
Brazil U23
Brazil U17

Individual

2 comments:

Anonymous said...

Thank you bwana kaka,kuna mambo nilikuwa siyajui kabisaa kuhusu huyu jamaa nimpendae kwa sanaaaa

Jumastoriesteller said...

aina mbaya jembe endelea kuturn on Dunia club hivi karibuni tutakuletea historia za magwiji wengine wa soka