Whitney Houston ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya
mwimbaji wa muziki wa pop na R&B wa Kimarekani Bi. Whitney Houston. Albamu ilitolewa mnamo tar. 4 Februari
1985 kwenye studio ya Arista Records.
Awali albamu ilikuwa na matokeo madogo ya kibiashara, lakini imeanza
kukusanya mafanikio yake kunako 1986 kwa msaada wa vikali vikali vitatu
vilivyoingia kwenye chati za Billboard Hot 100 vikiwa nafasi ya kwanza. Albamu
inabaki kuwa kama albamu iliouza vizuri kwa upande Houston mpaka leo
hii, kwa kuuza kopi zaidi ya milioni 25 kwa dunia nzima,[11]
na pia ni miongoni mwa albamu zilizouza vizuri nchini Marekani na pande
zingine za dunia kwa muda wote. Whitney Houston
Greatest Love Tour (1986) ·Moment of Truth World Tour
(1987-1988) ·Feels So Right Tour
(1990) ·I'm Your Baby Tonight
World Tour (1991) ·The Bodyguard
World Tour (1993-1994) ·Pacific
Rim Tour (1997) ·My Love Is
Your Love World Tour (1999)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Whitney Houston (albamu) kama historia
yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine
zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri
na kuongeza habari.
No comments:
Post a Comment