member

Thursday 9 August 2012

HISTORIA YA DIEGO MARADONA


Diego Maradona

Diego Maradona
Maradona
Maelezo binafsi
Jina kamiliDiego Armando Maradona
Tarehe ya kuzaliwa30 Oktoba 1960 (umri 51)
Mahala pa kuzaliwa   LanusBuenos Aires,Argentina
Urefu1.65 m (5 ft 5 in)
Nafasi anayochezeaMshambuliaji
Katikati
Klabu za vijana
1969–1976Argentinos Juniors
Klabu za ukubwani
MiakaKlabu
1976–1981
1981–1982
1982–1984
1984–1991
1992–1993
1993
1995–1997
Argentinos Juniors
Boca Juniors
Barcelona
Napoli
Sevilla
Newell's Old Boys
Boca Juniors
Career
Timu ya taifa
1977–1994Argentina
* Magoli alioshinda
Diego Armando Maradona (amezaliwa 30 Oktoba1960) ni mchezaji maarufu wampira wa miguu wa zamani kutoka nchi ya Argentina. Watu wengi wanamchukulia kuwa ni mchezaji bora duniani kwa wakati wote. Mwaka 2000 katika zawadi ya mchezaji bora wa karne iliyotangazwa na FIFA, Maradona alikwenda sambamba katika kugombea mchezaji bora wa karne na Pele baada ya wote kuwa wa kwanza katika uchaguzi wakuchagua ambao FIFA ilitangaza kipitia rai za watu kwenye Internet ili kuchagua mchezaji bora wa karne ya 20.
Maradona alichezea vilabu vya Boca JuniorsFC Barcelona na SSC Napoli, na zote hizo alipata zawadi mbali katika vilabu hivyo.

No comments: