member

Sunday 12 August 2012

TUPAC SHAKUR


Tupac Shakur

Tupac Shakur
2Pac2.jpg
Maelezo ya awali
Pia anajulikana kama2Pac, Makaveli
AmezaliwaJuni 16, 1971
East Harlem,Manhattan,
New York CityNew York,
Marekani
Asili yakeCaliforniaMarekani[1]
Amekufa13 Septemba 1996 (umri 25)
Las VegasNevada, Marekani
Aina ya muzikiHip hop
Kazi yakeRappermtunzi wa nyimbomwigizaji,mtayarishaji wa rekodi,mshairimwandikaji muswaada andishi,mwanaharakati
Miaka ya kazi1990 – 1996
StudioInterscope, Out Da Gutta, Death Row, Makaveli, Amaru
Tovuti2paclegacy.com
Tupac Amaru Shakur (16 Juni 1971 - 13 Septemba1996) alikuwa mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu, na pia mwanamuziki maarufu wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama 2Pac. Ni mmoja kati ya wasanii wa hip hop waliouza rekodi nyingi za muziki dunia.
Huyu alikuwa mtoto wa Afeni Shakur, ambaye alikuwa mwanachama wa chama chaBlack Panther Party. Mama yake Tupac alitolewa jela mwezi mmoja kabla ya kumzaa Tupac. Tupac alikufa mnamo tar. 13 Septemba katika mwaka wa 1996 baada ya kupigwa risasi akiwa anaendesha gari mjini Las VegasNevada, siku saba kabla kifo chake.
Mara nyingi aliitwa 2PacPacMakaveli na pia mwenyewe akajiita The Don Kiluminati. Tupac, pia alishawahi kuishikiria Guinness World Record kwa kuwa na mauzo ya juu sana kwa msanii wa muziki wa rap/hip hop. Alipata mauzo takriban milioni 74 kwa hesabu ya dunia nzima na milioni 44 kwa mauzo ya Marekani pekee.

Yaliyomo

  [ficha

[hariri]Sanaa

[hariri]Diskografia

[hariri]Studio albamu zake

MwakaAlbamuNafasi iliyoshika
[2][3][4][5][6]
Matunukio
[7][8][9]
USUS R&BUSCAN
19912Pacalypse Now6413Gold
1993Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z.244Platinum
1995Me Against the World112× Platinum
1996All Eyez on Me119× PlatinumPlatinum
1996The Don Killuminati: The 7 Day Theory114× PlatinumGold

[hariri]Albamu Zilizotolewa Akiwa Kafa

MwakaAlbamuNafasi iliyoshika
[10][11][6]
Certifications
[7][7][9]
USUS R&BUSCAN
1997R U Still Down? (Remember Me)214× Platinum
2001Until the End of Time113× Platinum2× Platinum
2002Better Dayz512× Platinum3× Platinum
2004Loyal to the Game11Platinum
2006Pac's Life93
2010Shakurspeare[12]

[hariri]Filamu

MwakaJina la filamuJina alilotumiaMaelezo mengine
1991Nothing But TroubleHimself(Brief appearance)
1992JuiceBishopFirst starring role
1992Drexell's ClassHimselfSeason 1: "Cruisin'"
1993A Different WorldPiccoloSeason 6: "Homie, Don't You Know Me?"
1993Poetic JusticeLuckyCo-starred with Janet Jackson
1993In Living ColorHimselfSeason 5: "Ike Turner and Hooch"
1994Above the RimBirdieCo-starred with Duane Martin
1995Murder Was the Case: The MovieHimself(Uncredited)
1996BulletTankReleased one month after Shakur's death
1997Gridlock'dEzekiel 'Spoon' WhitmoreReleased several months after Shakur's death
1997Gang RelatedDetective RodríguezShakur's last performance in a film
2003Tupac: ResurrectionHimselfOfficial documentary film
2008Live 2 TellHimselfExpected in 2008
2009NotoriousHimself (archive footage)Portrayed by Anthony Mackie
2009Untitled Tupac Shakur BiopicHimself(Announced)[13]

No comments: